Mwakilishi wa BBA Kuhukumiwa Kifungo kwa Kufanya Mapenzi Hadharani
--> Betty, ambaye ni mwakilishi wa BBA The Chase Kutoka Nchini Ethiopia anaandaliwa mashtaka yake ambayo yatamkabili pindi akirudi nchini kwao kutokana na kitendo chake cha kufanya mapenzi ndani ya jumba hilo huku akionekana katika television, kitendo ambacho ni kinyume na sheria za nchi hiyo.
Kwa mujibu wa Redio moja nchini humo, Jopo la wanasheria wameshamfungulia mashataka mahakamani na wanamngojea arudi.
Kwa mujibu wa Redio moja nchini humo, Jopo la wanasheria wameshamfungulia mashataka mahakamani na wanamngojea arudi.