Agongwa na Treni sababu ya Kuweka Head Phones Masikioni.
Jamaa mmoja amekubwa na mkasa wa aina yake pale alipogongwa na treni ambayo ilikuwa na kazi kubwa ya kumpggia honi ili atoke pembezoni mwa reli alipokuwa akitembea. Walioshuhudia tukio hilo wamesema treni hiyo ilipiga honi lakini jamaa alikuwa ameweka Head phones masikioni. Baada ya kupatiwa huduma ya kwanza, alipekwa hospitalini kwani yawezekana ameumia kwa ndani.