Mama Selly Asema mwanae Hakufanya Mapenzi Kweli na Nando "BBA"
-->
Benadicta Galley ni Mama wa Mshiriki wa BBA The Chase Kutoka Nchini Ghana, Selorm maarufu kama Selly ambaye wiki iliyopita alionekna na Kamera za siri ndani ya jumba hilo akiwa amejifunika katika Blanket na Mshiriki Kutoka Tanzania Nando kwa takribani takika kumi hivi huku wakijificha wasionekane nini hasa kinafanyika zaidi ya mitikisiko kitandani hapo.
Mama huyo amesema kwamba binti yake amelelewa katika maadili na hawezi kufanya ujinga kama huo wakati anajua anaonekana, kilichotokea ni kitendo cha kawaida cha washiriki wa Jumba hilo kuingia na kuongea ndani ya Blanket moja pamoja mwanaume na mwanamke.