Anaedaiwa kuwa Mchumba wa D'Banj aweka za Utata Mtandaoni
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Dapo Daniel Oyebanjo maarufu kama D'banj ambaye siku za hivi ameingia mkataba mnono na kampuni ya Sony Entertainment Africa ametengena na Mchuchu wake wa muda mrefu kidogo Jennifer Obayuwana na kuanzisha mahusiano mapya na mrembo mpya Yaris Sanchez ambaye akatupia picha za Mitego huko Twitter.
Angalia picha nyingine hapo chini, ni Bonge La Toto!!!!