Channing Tatum: Mwanaume mwenye mvuto 2012
Kama anavyoonekana katika picha mbali mbali mbali Channing Tatum ndo mwanaume mwenye mvuto zaidi kwa mwaka 2012. baada ya kutangazwa na jarida moja huko majuu baada ya kupata kura nyingi vimwana mbali mbali wamekuwa na maombi binafsi kwake ya mapenzi na mengineyo. Wewe mpenzi msomaji unamwonaje huyo?.....