Justin Bieber Chupu Chupu Kuuliwa

Ripoti zinasema kwamba Nyota Justin Bieber alikuwa katika chambo ya kuuliwa siku chache zilizopita. Shambulio hilo la mauaji liliandalia na mfungwa ambaye anatumikia kiungo cha miasha kwa kesi mbali mbali zuliwemo za uaji na ubakaji aitwaye Dana Martin, njemba hiyo ilifanya mipango na mfungwa mwenzie ambaye siku zake za kuachiwa huru zilikaribia  ili atakapotoka tu gerezani akamlize nyota huyo. Alimwambia afanye mpango wa kumuu kwa kutumia tai ya aina ulani ambayo Martini huitumia katika kufanya mauaji. tat ivyo njemba hiyo ilitiwa nguvuni na polisi kabla ya kufanya Maagizo hayo.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger