Kim Kardashian Aomboleza kifo cha paka wake


Mwanadada Kim Kardashian kwa masikitiko yupo katiko maombolezo ya paka aliyefariki Ijumaa iliyopita kutokana ugonjwa mfano wa saratani ya uzazi. Ameandika katika blog yake kwamba yupo katika majonzi makubwa na hasa ukizingatia Mercy, paka huyo alipewa zawadi na boy friend wake Kanye West mwezi wa Tisa Mwaka huu.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger