Waziri anaswa na warembo wa chuo

Mmoja wa waziri katika serikali ya Nchi ya Ghana amenaswa akila raha na vimwana wa chuo kimoja mjini Accra, hali iliyosababisha Mpenzi wake wa muda mrefu ajulikanae kama "Madam wa Boss" kumpiga chini na kumwacha aendelee na mabo yake hali iyomchanganya waziri huyo kwani mpenzi wake huyo ndo chachu ya mafanikio yake hususani katika medani ya siasa na amekuwa mstari wa mbele katika kumuunganisha katika mitandao mbali mbali ya kijamii na kumsaidia katika ku update status zake katika sehemu hizo!

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger