Angalia Orodha ya Mtajiri 50 wa Africa, Tanzania yatoa Wanne.
Ama kweli matajiri wa Africa wanazidi kuongeza, kwa kipindi cha miaka 10 tangu kufanyika kwa tathmini ya mwisho na Forbes mwaka 2003, sasa Africa ina Mabilionea 30 kw kiwango cha Dola Bilioni za Kimarekani. Katika Orodha hiyo ya Mwaka huu, Tanzania Imeweka Mabilionea Wanne huku nafasi nyingi zikichukuliwa na Nigeria na Kanda za Uarabuni.
Angalia Orodha zaidi.