Baada ya Kushindwa Jeshi na Urembo akamatwa na Mdawa ya Kulevya

 Ni habari toka hukoMarekani ambapo mwanadada Naomi  Thriepland (25) amekamwatwa na shehena ya madawa ya kulevya yenye thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania Billioni 2.14. Madawa hayo yalikamatwa katika gari alilokuwa akiendesha mrembo huyo kuelekea Amsterdam. Ndani ya Gari alikuwa na binti yake wa miaka 7 ambaye alimfanya kama chambo kwani alipata kuwadanganya maaskari kwamba alikuwa anampeleka mwana huyo Disney Land Kutembea.
Akisomewa mashtaka hayo, hakimu amesema hakutegemea kwa mtu aliyepitia mafunzo kama yake kufanya kitendo kama hicho na amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 4 jela. Hivyo basi Naom ambaye ni mjamzito wa miezi 4 atajifungua mtoto wake wa pili akiwa gerezani.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger