Mwanamke aliiba Paka na Kumficha katika Pochi.

Kituko kimetokea katikaduka la kuuzia paka huko Marekani ambapo mwanamama mmoja aliamua kumwiba Paka ambaye alimpenda lakini hakuwa na uwezo wa kumnunua na kumficha katika pochi. kwa bahati mbaya Camera zilizokuwa dukani hapo zilimbamba na kuamriwa amrudishe.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger