Shabiki Mshenzi!!!

Kamera ya Mdaku inamfuma jamaa huyo ambaye alikuwa katika watu wa mbele wakati msanii huyo anapiga show, badala ya kutoa mkono kumpa msanii huyo kama mashabiki wengine yeye anaamua kumfunua gauni kabisa, hawa hata bongo wapo, sema kinachookoa kwa bongo ni steji kuwa juu zaidi ambapo huishia kuwa chungulia wasanii wa kike tu.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger