"Mauno" ya Aunt Lulu Yamzimisha Njemba Shughulini
-->
Mwanadada Lulu Mathias Semagongo Juzi juzi alimfanya jamaa mmoja kuzimia katika harusi ya bibie jack baada ya mwanadada huyo kukata kiono mpaka jamaa akapatwa na kizunguzungu na hatimaye kudondoka chini na kuzimia. Kioja hicho kilichovuta hisia za wengi kilitoka baada ya mwanadada huyo aliyebeba mzigo wa maana alipoamua kufanya kweli katika sherehe hiyo na ndipo miongoni mwa njemba zillizokuwepo hapo kuamua kuunga tela...... huku akiwa na sahani yake ya chakula mkononi mara "puuuh" chiniiii.-->