Baada ya Kumg'ata Mchezaji mwenzie, Suarez akiri makosa.


-->
"Kweli nimejiharibu" hiyo ndo kauli ya mshambuliaji wa Liverpool Luis Suarez ambaye F.A wamemfungia kucheza mechi kumi(10) na kutakiwa kulipa faini kwa kitendo chake cha kumng'ata mshambuliaji waChelsea Branislav Ivanovic. Kutokana na tukio hilo mshambuliaji huyo wa Liverpool ambaye amesaini mkataba mpya hivi karibuni na timu yake atazikosa mechi nne za ligi zilizobaki pia hatarudi uwanjani hadi mwezi wa kumi mwaka huu.



Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger