Big Brother Africa 8 imerudi tena
Haya limerudi tene lile shindano la kuwaacha hoi na kuwaacha uchi washiriki wengi katika jumba la Big Brother, ambapo safari kutakuwa na washindani 28, imependekezwa iwe mwanamke mmoja na mwanaume mmoja kutoka nchi 14 za washiriki. Bado kuna mjadala kuhusu kuwepo wasanii na watu maarufu kutoka nchi mbali mbali za Africa zikiwemo:-
Uganda- Desire Luzinda/Jackie. O (Obsessions)
South Africa- Khanyi Mbau
Ghana- Vera sidika/Sarkodie
Nigeria- Inyanya/Dammy Krane
Kenya- Shaffie weru/Oj Oballa
Zimbabwe- Makosi Musambasi etc
Big Brother Africa yatarajiwa Kuanza Mwezi wa Tano tarehe 26.