Mwalimu wa kike aliyelazimisha mapenzi na wanafunzi wake ahukumiwa.
Mwalimu wa kike Ashley Anderson (24) katika shule ya Iowa High, huko marekani amejikuta hatiani baada ya kukiri mashtaka ya kuwarubuni wanafunzi wanne wa kiume kwa nyakati tofauti na hatimaye kufanya nao mapenzi. miongoni mwa mbinu hizo ni kuwatumia sms na picha zake akiwa hana nguo kupitia simu. kasheshe hilo limemkuta baada ya kuzuka mzozo na baadhi ya wapenzi wake hao akiwalazimisha kuzifuta ili awalipe.