Mwalimu wa Miaka 22 ajihusisha kimapenzi na Mvulana wa miaka 15.
Kalee Warnick |
Mwalimu wa Somo la Kiingeeza katika Shule ya Wall huko New Jersey anakabiliwa na shitaka la matumizi mabaya ya madaraka na kumlazimisha mapenzi mwanafunzi wake wa miaka 15.
Kalee Warnick,22, alikamatwa Jumanne iliyopita kwa kosa hilo la kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Mtoto, kesi yake imepangwa kusikilizwa Alhamisi Ijayo hata hivyo wakili wa mwalimu huyo Amesema ya kwamba mteja wake amepanga kukana mashtaka yanayomkabili.
Shule hiyo ambayo mwalimu huyo pia alisoma na kumaliza mwaka 2008 |