Alichokisema Sintah baada ya Huddah Kumpa Pole Wema na Kutamani arudiane na Diamond ni Hiki hapa.


Baada ya Mwanadada Hudda kutoka nchini Kenya Kuandika katika ukurasa wa Instagram ni Jinsi anamkubali Wema na kumpa pole kutakana na kifo cha baba yake, Huddah alienda mbali zaid na kusema anatamani kumwona Wema na Diamond wakiwa pamoja na si wengineo maana hawaendani na Diamond.

Kazi Imemkuta Mwanadad wa kwetu Tanzania, alichoamua kukiandika ni hichi :-
"Hii kali kuliko na sijui katokea wapi huyu dada Hudda amekuja na haya mapya lolest, binaadam wanaweza wakafanya ukatafuta kamba walahiii, eeh sisi tuendelee kuangalia sinema hii na naongeza popcorn  maana sinema ni ya bureee kabisa, all in all Dimondo mwenyewe ataamua maana anajua nani anayempenda.... hata mama,mdogo nk hawezi kumshauri matters concerning the heart banaaa......"

Sijui anakusudia nini?!!!!!


Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger