Angalia picha zaidi ya 20 za matukio katika Show ya P square Dar
Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wakilivamia jukwaa la Leaders
WEUSI WAKIFANYA YAO STEJINI
Joh Makini akilitawala jukwaa.
Nikki wa Pili (kushoto) na G Nako wakifanya yao…
PROFESA JAY AWADATISHA MASHABIKI NDANI YA LEADERS CLUB
LADY JAYDEE AKIFANYA YAKE STEJINI
Mwanamuziki
Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Anaconda' akiwapagawisha mashabiki
wake waliohudhuria katika Viwanja vya Leaders Club usiku wa janakatika shoo
wa wakali P-Square.…
MA MC KAZINI...
MC Dullah akiwa kazini.
Ma MC wakiwajibikia stejini.
BEN POL AKILISHAMBULIA JUKWAA KATIKA YA SHOO YA P-SQUARE
Mwanamuziki Ben Pol akiwasha moto katika steji ndani ya Viwanja vya Leaders usiku huu katika shoo ya P-Square Live in Dar.…