MWANAUME WA KWANZA MUAFRICA KUJIBADILISHA JINSIA NA KUWA MWANAMKE, SASA ANAJIHISI UHURU ZAIDI
Huyu ni modo na mwanamuziki toka nchini Nigeria ambaye pia ni Miss saHHara, alizaliwa akiwa mwanaume kamili.
Amekuwa akiendesha maisha yake kwa kupitia shughuli za Urembo, ameridhika na hali aliyokuwa nayo sasa na anaomba watu wamkubali kama alivyo.
Jana kupitia makala moja ikiwa ni katika maadhimisho yao alielezea kwa vile alivyonyanyasika kwa kufungwa na hata kufikia hatua ya kutishiwa kuuwa ila kwa sasa anafurahi kwa kujiona yupo huru.