Motorola waja na Toleo jipya, bei kuanzia laki 2 na nusu za kiTz



 kampuni ya Motorola imeleta hii simu yao mpya inaitwa Moto G ambayo mauzo yake ni kuanzia dola 179 huku moja ya sifa zake ikiwa ni ndogo lakini yenye vitu vingi pamoja na chaji kukaa kwa muda mrefu.
Pamoja na kwamba simu hii imeanza kuuzwa kwenye nchi mbalimbali duniani, $179 for the 8GB model or $199 for 16GB of storage… kwa wenzangu wa Marekani itabidi wasubiri mpaka January 2014.
4.5-inch display, rather than the 4.7 inches of the Moto X.
moto g 3
moto g 5
Motorola 22

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger