Picha 10 za Shule anayoijenga Happiness Magese Huko Mtwara.
Miss Tanzania 2001 Millen Magese na hivi sasa ni mwanamitindo wa kimataifa amejitolea kwa jamii ya kitanzania huko Mtwara “Mji Mwema” kwa kujenga shule,kununua madawati, kujenga kisima cha maji na mambo mengine kutoka kwake mwenyewe.