Kim na Kanye West Kununua Kiwanja kipya baada ya Mjengo wa Dola Milioni 11 kukamilika
Kim Kardashian na Kanye West bado hata hawajaamia kwenye nyumba yao ya kifahari “ Bel Air mansion” iliyowagharimu dola millioni 11 ambayo iliwaweka kwenye headline sana pamoja na party yao ya kuvalishana pete. Hivi sasa wapenzi hawa mitandao ya kidaku imepata kitu kipya kutoka kwao.
Kim and Kanye inasemekana bado hawajaridhika ni hiyo nyumba ya dola millioni 11 na camera za mapaparazi zimewakamata wakikagua kiwanja kipya ambacho kipo kwenye sehemu iliyoinuka ambapo ndipo Kanye anataka kuishi na mchumba wake na mwanae North.
Sources zinasema kwamba Kanye na Kim wamekipenda hicho kiwanja kwasababu itakuwa more private kwenye maisha yao zaidi ya nyumba waliyonunua. Kiwanja hicho peke yake kina gharama ya dola millioni 10 kabla hawajenga hiyo nyumba wanayotaka.
Posted by
Unknown

Labels:
Udaku wa Ulaya
Related Articles
- BAADA YA WANAIJERIA KUTUMIA "NYETI" KAMA KEKI YA BIRTHDAY, NICK MINAJ AFANYA BALAA ZAIDI, IANGALIA KEKI YAKE HAPA
- MCHEKI LADY GAGA HAPA AKIWA NA GAUNI LENYE IPAD MOJA KWA MOJA
- UMEPATA KUIONA CHENI MPYA YA ALMASI YA 50 CENTS, CHENI AMBAYO THAMANI YAKE KWA BONGO WAWEZA JENGA MIJENGO KADHAA.
- MIMI NI ZAIDI YA MANDELA, NA NTAFANYA MAKUBWA ZAIDI YAKE "KANYE WEST"
- TIMU YA RUGBY YA WANAWAKE YAAMUA KUKAA "UTUPU" ILI KUKUSANYA FEDHA ZA HISANI
- HATARIIII!!" AJIFUNGA KAMBA KATIKA "DUSHELELE" KISHA KUTEMBEA JUU YA KAMBA MLIMANI
- ZAHA AKANUSHA KUWA NA MAHUSIANO NA MTOTO WA KOCHA WAKE, ASISITIZA HIYO SI SABABU YA KUKOSA NAMBA MAN U.
- WAVULANA WA CALIFORNIA WAMEANZA KUONGEA KAMA WASICHANA- UTAFITI
- Sheria ya Kuwatoza Faini Wateja wa Makahaba Yapitishwa, Ole wako ukamatwe