Video ya Mdogo wa Diamond akisimulia enzi za Wizi, Pombe na Bangi za Diamond Platinumz
Unalikumbuka sakata la dogo S. Kide anayejiita mdogo wake Diamond? Ni dogo ambaye ameamua kuyaanika maisha ya Diamond enzi zile akiwa underground.....
Simulizi lake linaeleza jinsi Diamond alivyokuwa akishindia vichupi vilivyotoboka nyuma na kuokota makopo dampo....
Dogo anadai kuwa, Diamond ni kaka yake, ila tofauti zao ni Midomo tu.
Tazama video hapo chini