Balaa la Mzee Yusuph na Jahazi Jana
Shabiki aliyevaa kihasara akinengua jukwaani.
UKUMBI wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar es Salaam, jana usiku ulifurika mashabiki katika onyesho la bendi ya taarabu ya Jahazi inayoongozwa na staa Mzee Yusuf.