Eliwood, Mbwa Mwenye Sura Mbaya Kuliko wote, Afariki Dunia
Mnamo mwaka 2007, Karen Quigley alijipatia umaarufu wa aina yake na fedha pia pale mbwa wake ambaye alitokana na mchanganyiko wa mbegu ya chihuahua na Crested ya kichina iloimfanya mbwa huyo atoke na sura mbaya na ya aina yake.
Karen alipanga kumstaafisha matamasha ya hadhira mbwa huyo mnamo mwisho wa mwaka huu , kwa bahati mbaya Elwood alifariki ghafla leo asubuhi akiwa na umri wa miaka 8.