Angalia Picha 20 za Makamuzi ya Diamond Serena Hoteli katika Kulikaribisha Kombe la Dunia
Few hours ago,nchi yangu Tanzania imepata bahati nyingine tena ya kutembelewa na ,kombe la dunia atakalo pewa mbabe wa kabumbu Duniani ,ni kombe linaloheshimika sana duniani kote..Hafla ya kulipokea
imefanyika usiku huu ndani ya viwanja vya hotel ya Serena jijini Dar ,na Diamond kama balozi wa Coca cola alikuwepo na alipangwa kama mmoja ya wasanii wa Kitanzania aliyetumbuiza
angalia picha zaid hapa........
Home sweet home,akijiandaa......... |
My personal security officer,call him Mwarabu akiwa satandby kabisa akinisubili... |
Baada ya kuwasili hotelini@Serena hotel,kulikwa
na ulinzi wa hali ya juu sanaa.........