PICHA ZA MATUKIO KATIKA UZINDUZI WA AZAM TV
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Yusuf Bakhresa (kushoto) akifungua rasmi Azam Tv mbele ya Mtendaji Mkuu wa Azam Media Rhys Torrington.

Kutoka kushoto ni Maulid Kitenge, Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi Saleh Ally na mmoja wa wafanyakazi wa Azam Tv.