Wafanya Mapenzi Hadharani
Tukio la kioja na kuporomoka kwa maadili limetokea maeneo ya Kwahu, huku Ghana, Baada ya demu mmoja ambaye anasadikiwa kuwa ni changudoa, kuvamia katika sherehe moja ya usiku "Kigodoro" na kutangaza nani anaweza fanya nae mapenzi hapo hapo mbele ya watu, ndipo alipotokea kijana mmoja ambaye alikuwa amelewa kidogo, bila hiyana akazivua nguo zake na kuanzisha sinema ya bure kama picha inavyoonesha! Hatarii.