|
Janneth na Wissam |
|
|
|
|
Hatimaye mwanadada Janneth Jackson amebadili dini na kuwa Muislam huku akijiandaa kufunga ndoa na Prince Wissam Al Mana, Bilionea. Janneth amefanya kama alivyobadili kaka yake marehemu Michael Jackson, na kuamua kutowaambia mashabiki wake. Njemba hiyo imetoa ahadi ya kuwakodia ndege binafsi wanafamilia na watu waote wa karibu watakaobaatika kuhudhuria Harusi hiyo huku wakiahidiwa kuzawadiwa saa aina ya Rolex yenye thamani ya Sh Million 16 za kitanzania. Duuh njemba ina hela balaa.