Mgombea Urais Aliyejipiga Tattoo Uso Mzima
Ni kioja lakiniUkweli ndio huo, hiyo ndio sura ya Vladimir Franz, mgombea Uraisi wa Czech Republic ambaye anashika nafasi ya tatu miongoni mwa wagombea tisa wa nafasi hiyo kwa kuwa na asilimia 11.4 katika kura za maoni. Ikiwa jamaa atafanikiwa basi atakuwa mfalme wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na sura ya namna hiyo.
Uchaguzi utafanyika tarehe 25 na 26 mwezi huu. Ambapo Vladimir amesema kwamba Tattoo zake ni kama bustani yake yake Binafsi, na Uraisi si mashindano ya Urembo bali ni kutafuta kiongozi Makini bila Ubaguzi.