VIDEO ya "KIMAPENZI" Alingo ya P Squire yapigwa Marufuku
Video ya nyimbo mpya ya Vijana wa kundi la P squire, "ALINGO" imepigwa marufuku nchini Nigeria na NBC Kutokana na kile kilichosemwa inahamasisha ngono nma wanawake wa humo ndani wamekaa kihasa hasara mno. Iangalie Video hiyo hapo chini. -->