Aliyekuwa jambazi na muuaji apewa cheo cha Uzee wa Kanisa
-->
Ule usemi usemao, "Shetani akizeeka..........." unaweza ukatumiwa hapa, lakini hili limekuwa tofauti kwani mtuhumiwa huyo hayjazeeka na kuwa mzee hata hivyo Ataa Ayi, ambaye ni mfungwa katika gereza moja huko Accra Ghana, ameamua kuwa mtu wa imani ipasavyo kwani anashuhudiwa kuhudhuria ibada zote vizuri huku akionekana kuwa amebadilika, kitendo kilichomfanya Apandishwe cheo na kuwa miongoni mwa wazee wa kanisa hilo ndani ya jela.