Mrembo Julieth Ibrahim Azuiwa Kupanda Ndege sababu ya viatu alivyovaa

-->


Msanii wa filamu kutoka nchini Ghana Juz alikumbwa na usumbufu wa aina yake pale alipozuiwa na askari wa Air Port Kupanda ndege kwasasbabu viatu vyake vilikuwa vinahatarisha usalama. Tukio hilo lilimsababishia achelewe ndege yake ya awali kwani alikataa kuvua viatu hivyo. Hata hivyo baadae alikubali kuvua na kupanda ndege nyingine.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger