"Kumekuchaa" Shilole Ajiachia na Taulo tu kwa Obama!!
Mwanada Shilole ambaye yuko katika ziara huko nchini marekani ameonekana akijiachia na taulo moja tu, tukio hilo limemfanya Sintah amponde vibaya katika blog yake ya kwamba wa kijijini ni wa kijiji tu na hauwezi ukautoa ushamba wake bali unaweza toa shamba na kumleta mjini.
Lkini binafsi nahisi hii ni miongoni mwa scene ya movie au nyimbo yake, ngoja tuone shilole mwenyewe anasemaje.