Angalia jinsi Natural Afro ilivyotunzwa mpaka kumfanya Apewe Tuzo ya maajabu Guiness.


Aevin Dugas, 38, Mfanyakazi katika Taasisi moja ya kijamii huko Louisiana anashikilia Rekodi ya Maajabu ya Guinness kwa kuwa na Nywele Nyingi za Kiasili (Afro) ambazo ki mzunguko zina urefu wa Futi 4 na Inchi 4.



Nywele hizo zimekuwa zikitunzwa kwa zaidi ya miak 14 mpaka kufikia zilipo, Ingawa anajivunia kuwa nazo lakini amekiri kuna wakati huwa ni usumbufu kwake na mzigo kwani kuna baadhi ya watu huwa hawaamini ni zake mpake wamshike nyele hizo.




Tangu Apate Tuzo Hiyo amekuwa ni Muongozo kwa wanawake hasa weusi kuachana na mambo ya Relaxers na dawa nyingine, badala yake waende Naturally.





Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger