Mchungaji Anayejihusisha na Vitendo vya Ushoga Ahukumiwa Kifungo
Mchungaji wa Kanisa la Pentecost Huko Benin amehukumiwa kwenda jela baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na vitendo vya Kulawiti Waumini wake. Hayo yalibainika baada ya mmoja wa waumini hao kijana mwenye umri wa miaka 15 kueleza kila kitu kwa wazazi wake huku akisisitiza ya kwamba ni Mungu amemshawishi aseme ukweli huo.
Kwa Upande wake Mchungaji huyo Phili Ogbebor, 42, amesema ya kwamba hana wa kumlaumu juu ya makosa yake na anamwachia Mungu Apitishe Hukumu ya Haki.