Mwenye Nyumba Afumaniwa Akifanya Mapenzi na Mpangaji wake.
Kwa Mujibu wa GN Blog, ni kwamba mama mmoja aliyejazia na umbo kubwa ambaye ni mmiliki wa Duka Moja Maarufu huko Lagos, Nigeria, Amekutwa Akijiachia na Mwenye Nyumba ya Kupanga wanayoishi na mumewe karibu na Maeneo ya Ikorodo.
Imeelezwa kwamba Mume wa Mwanamke huyo maarufu kama Mama Kele, alimuajiri mtu akaiweke kamera ya siri katika chumba cha mwenye nyumba huyo, baada ya kupata tetesi ya kwamba mke wake huyo alikuwa akimlipa mwenye nyumba huyo kodi ya "Penzi"
Video hiyo iliyoonesha kila kitu imemfanya mwenye nyumba huyo kutoonekana maeneo hayo anayoishi na pia Baba Kele, amelifunga duka la mkewe na kumpeleke mwanamke huyo kwao.