Selly Amuomba Radhi Mpenzi Wake Kupitia Live TV, Amshukuru kwa kuwa Muelewa.
Aliyekuwa Mshiriki wa BBA The Chase kutoka Ghana, Selorm Galley, Maarufu kama Selly amezidi ku Make Headlines katika media za Nchini kwao tangu kufungasha virago vyako katika jumba hilo la BBA na kurudi kwao.
Usiku wa Majuzi Mrembo huyo alifanya Surprise ya aina yake baada kutokea katika kipindi kimoja cha Televisheni cha usiku "Late Nite Celebrity Show" na Kuongea Mengi Kikubwa ni Kumwomba Radhi Mpenzi wake wa Muda Mrefu Praye Tietia Moja kwa Moja(Live)
Alisema" “I am very thankful for the opportunity given me. I want to thank my boyfriend, Praye Tietia and also use this opportunity to say I am very sorry (for all that happened),”
Alisisitiza Mrembo Huyo.