Koletha wa Bongo Movie Auza Kiuno chake chenye "Chachandu" Mtandaoni
Inaonekana Ishakuwa Fashion Siku hizi ili kupata Umaarufu lazima ubeep watu kwa kuwatega Kidogo , yaani ni Kama mashindano Picha za Dada zetu wa Bongo movies ukigoogle Nyingi ni za Mitego mitego ...na ukiuliza unaambiwa alipost mwenye Tweeter or Instragram.........Ona sasa Huyu nae katubeep na Kiuno kikiwa na Shanga......Unaonaje? Tupe Mtazamo wako juu ya hilo