Lol, Angalia Alichokifanya Afr0 Candy hapa
Yule Muigizaji wa Sinema za Ng0n0 Kutoka nchini Nigeria ambaye amekuwa haishiwi vituko katika kuhakikisha jina lake lizidi kubaki midomoni mwa watu, Afro Candy ameweka picha hiyo katika moja ya Kurasa za Mitandao yake ya kijamii, sasa sijui ana mkaribisha mteja au anamaanisha nini, mimi yangu macho!!!!