Vanessa Mdee alianzia Huku kabla ya Kuingia Bongo Flava
Moja kati ya vitu ambavyo binafsi sikuwa nafahamu ni kwamba Vanessa Mdee alianza kuimba muziki toka akiwa mtoto na kwamba alishawahi kuimba hadi kwenye kwaya za Kanisani kwa muda mrefu.
Alizungumza hayo alipokuwa kwenye mahojiano na kipindi cha The Takeover (TKO) cha TBC fm mnamo siku ya Alhamisi 28 Novemba, sambamba na mambo mengine mwanzoni alianza kuelezea ujio wake mpya wa Come Over kuanzia idea mpaka wimbo unakamilika.
Sikiliza mahojiano hayo hapo chini...