Blog ya Xdeejays hatarini kufungiwa kutokana na Kufichua maovu ya wasanii na watu maarufu Bongo, Hasa Miss Utalii.
Ile Blog ya aina yake hapa Tanzania amabayo imekuwa na tabia ya kuibua madudu yanayofanywa na wasanii hasa hasa wa Bongo Movies na watu maarufu nchini ipo mbioni kufungiwa kuwa hewani kutokana na madada hao pichani kutaka kulifishika sukata lao la "KUTWANGANA" Katika mikono ya sheria.
Imeelezwa baadhi ya wasanii wa Bongo movies wameifurahia hatua hiyo ya Miss Utalii Fathiya na Suzy wa Bongo movie kulipeleka suala hili kisheria zaidi.
Kwa Picha na Habari zaidi <<<<<INGIA HAPA>>>>