Angalia Picha 7 za Hotel iliyojengwa Katikati ya Bahari Huko Zanzibar
Unaambiwa kinachoshindikana ni kumtengeneza binadamu mpya tu kwenye hii dunia, huko Pemba imezinduliwa hoteli mpya mwezi huu yenye vyumba 16 iitwayo The Manta Resort ikiwa designed by Swedish company Genberg Underwater Hotels kwa mujibu wa CNN.