Mcheki Gifty Nkasa, Amefanana na JOKATE akiwa na Kale ka Suruali ka Diamond na Wachumba zake
Ukimcheki kwa haraka utadhani ni Mwanadada Jokate wa Tanzania ambaye aliwahi kuwa na Mahusiano na Mwanamuziki Naseeb Abdul Maarufu kama Diamond Platinumz.
Gifty ni mwanamitindo kutoka nchini Ghana, hapo ameweka Pozi na Design ile ya Nguo Iliyomponza Diamond baada ya kuhudhuria Harusi ya Peter Okoye wa P Squire akiwa ameivaa.