Aua Mama, 26 na Mwenyewe

Kutoka Connecticut Marekani, Jamaa Mmoja mwenye umri wa miaka 20, Adam Lanza, akiwa amevaa nguo nyeusi za kijeshi amefanya mauaji ya aina yake baada ya kuchanganyikiwa kwa kuanza kumuua Mama yake mzazi, Mwalimu na watoto wa Chekechea 20 na Watu wengine kisha kujiua na yeye mwenyewe. Kwa Sasa polisi inamuhoji kaka yake Ryan Lanza, 24, ambaye hapo mwanzo ndo alishukiwa kuwa muuaji na kutangazwa katika vyombo kadhaa vya habari kutokana na kufanana na mdogo wake, lakini hayuko hatiani. Inasemekana kuwa Adam alikuwa na ugomvi na mama yake. Mashahidi wa tukio wamesema jamaa alikuwa na Bastola mbili mkononi na alisikika milio zaidi ya mara 100 ya risasi zikifyatuliwa.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger