FM ACADEMIA watimiza miaka 15

Magwiji wa muziki wa dansi, FM ACADEMIA, jana walifanya party ya kufa mtu ya kuadhimisha kutimiza kwao miaka 15 tangu kuanzishwa kwake, huku udhamini mkubwa ukitoka Tigo. Katika hafla hiyo iliyopambwa na burudani ya aina yake, ikisindikizwa na mapacha watatu, PNC, na Dogo Janja ambapo Nyimbo za tangu mwanzo wa bendi mpaka sasa zilitumbuizwa.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger