"Waiting Soul" ya Ndauka imeiva

Mwigizaji maarufu wa filamu nchini, mrembo Rose Ndauka amsema kwamba ile filamu yake iendayo kwa jina la "Waiting Soul" Imeshaiva na Uzinduzi rasmi unatarajiwa kufanyika jijini Mbeya kama zawadi ya Krismass kwa Wapenzi wake wote.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger