Hatimaye Wamerudiana!
Wale ndege wa Mahaba waliotengena hivi karibuni baada ya kudumu ndani ya uchumba kwa zaidi ya Mwaka na Nusu inasemekana wamerudiana na sasa mapenzi yao ni moto moto, hapa namzungumzia Ali Fdotowsky na Roberto Martinez, wawili hao walikutana katika ndoa ya Ashley Herbert na kuanza uhusiano wao. Shuhuda mmoja wa tukio hilo amesema jinsi alivyowaona, si watu wa kutengana wale!