Huyu ndo Muuaji


Rais Obama
Adam Lanza
Kijana Adam Lanza aliyefanya mauaji katika shule moja mjini Connecticut Marekani na kisha kujiua yeye mwenyewe, anaonekana aliigiza taarifa ya jamaa mmoja aliyeweka tahadhari kwamba siku ya ijumaa angefanya tukio kubwa na kuacha historia, kutokana na tukio hilo Rais Obama amesema ipo haji kuangalia upya sheria za umiliki wa bastola nchini humo.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger